Zuwena Mp3 Download Diamond Platnumz

Zuwena Mp3 Download Diamond Platnumz details will find here. Zuwena Music video Diamond Platnumz details will find here. In this article, you can also read Zuwena – Diamond Platnumz Lyrics here.

Zuwena Song Details:

  • Song: Zuwena
  • Singer: Diamond Platnumz
  • Music: Diamond Platnumz
  • Lyrics: Diamond Platnumz
  • Release Date: 3rd February, 2023
  • Language: African (Country : Tanzania)
  • Label: Diamond Platnumz

Zuwena Song Lyrics

(Ayolizer)..
Mhhh…
Habari Gani Kaka Naamini Unanisikia,
Mimi Mzima Wa Afya Mama Mungu Anasaidia..
Toka Ulipotuacha Mahututi,
Anazidiwa Bibi Presha Presha Nae Akatangulia..

Bado Twakuombea Ulale Salama Pema,
Japo Moyoni Nina Dukuduku..
Natamani Kusema,
Nisemeeeeee Zile Mali Husia..

Ulizotuhusia Tuligawa Salama,
Zuwena Zote Tukampatia Tusiwe Ndugu Lawama..
Ilaa! Zuena Kaka Amebadilika Sanaa,
Yaan Shem Lake Bi Zuuh Wa Leo..
Sio Yule Wa Jana..

Natamani Ungemuona (Zuwena)..
Japo Ungemuona (Zuwena)..
Kidogo Tu Ungemuona (Zuwena)..
Ungemuona (Zuwena)..

Ooohh Ungemuona (Zuwena)..
Aahh Zuwena (Zuwena)..
Oohh Ungemuona Zuwena (Zuwena)..

Aah! Zuwena Sasa Kawa Chotara,
Sio Tena Cheusi Mangala..
Ngozi Kaichubua Awe Mzungu,
Anavuta Na Sigara Mara..

Boko Mwananyamala,
Anachezesha Tu Miamala Kutwa Anaisugua..
Kipepe Rungu Tena Peku Bila Ndala..

Aaah Zuwena Siku Hizi Anabandika Kope (Zuwena).
Zuwena Mipasuo Kama Yote (Zuwena).
Ooh Zuwena Lipa Shika Tuondoke (Zuwena).
Aah Zuwena Wanamuita Cha Wote Oooh Oooh..

Juzi Kabebwa Na Majirani Hata Hajitambui (Zuwena)..
Yaan Kalewa Tafarani Kautwika Mbwiiiii (Zuwena)..
Zuwena Sio Tena Wa Ibada Na Dini..

Sadaka Chenji Asaidie,
Siku Hizi Kageuka Pedeshee Wa Mjini..
Kutunza Bendi Wamsifie,
Na Lile Gari Lako Urithi Wa Babu La Kulishia Ng’ombe..

Siku Hizi Kama Kwato Kwenye Vilabu Linabebea Pombe,
Mama Dede Kitandani Hawez Hata Kutembea..
Zuwena Ameshindwa Hata Kuja.
Kumuona Panadol Kumletea..

Natamani Ungemuona (Zuwena)..
Japo Ungemuona (Zuwena)..
Kidogo Tu Ungemuona (Zuwena)..
Ungemuona (Zuwena)..

Ooohh Ungemuona (Zuwena)..
Aahh Zuwena (Zuwena)..
Oohh Ungemuona Zuwena (Zuwena)..

Siku Hizi Kataradadi,
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda,
Anajiita Jlo..
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda,
Eti Mzungu Mweusi..

Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda,
Anatunyoosha Baba..
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda..